• Breaking News

    KUJIACHIRIA MBELE ZA MUNGU

    Zaburi 42:1_2(1_kama Ayala aoneavyo shauku mito ya maji vivyo hivyo Nafsi yangu inakuonea shauku e Mungu wangu 2_Nafsi yangu inamwonea shauku Mungu aliye Hai,lini nitakuja kuonekana mbele za Mungu).
    Katika kutaka kujiachilia mbele za Mungu, tunatakiwa kufanya vitu vifuatavyo
    1.kutafuta wakati kwa ajiri ya Bwana
    2.Kutafuta mahali pa utulivu kwa ajiri ya kazi ya Bwana kama kusoma bibilia,kuomba nk
    3.kuwa na ukaribu na Bwana na kuachilia moyo wako kwa Bwana na kwa kumtegemea yeye
    Mtu atakuwa na maisha matakatifu kama moyoni mwake anashauku yakumtafuta Bwana  na kujiachilia mbele zake
    Isaya 40:31(31_Bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu, watapanda juu kwa Mbawa kama Tai,watapiga mbiu wala hawatachoka,watakwenda kwa miguu wala hawatazimia)
    Muhimu kutenga muda kwa ajiri ya Bwana, Zaburi 130:5_6,(5_Nimemngoja Bwana, Roho yangu imemngoja Na Neno  lake  nimelitumainia,Nafsi yangu inamngoja Bwana kuliko walizi waingojavyo asubui ,Naaam kuliko walinzi waingojavyo  asubui
    Pia tunatakiwa kutembea bila kuchoka

    Asante kwa usomaji, somo limeandaliwa na mchungaji Kikoti Ulanda TAG 0752390465
    Pia kwa masomo mbalimbali ya KILA siku unaweza kuyapata kupitia Godlove App,(http://goo.gl/pRBmJ)

    No comments