MWIMBAJI WAKO LUGANO EDOM AJA TENAA!
Msanii wako wa njimbo za injiri kutoka jijini mbeya anayetamba na wimbo wake wa kwa Neema hivi karibuni ameachia wimbo wake mwingine unaoitwa jehanamu inakungoja.Nyimbo izi unaweza kuzipata katika YouTube channel @Luganoedommbeyatz,Pia unaweza ku subscribe kupata nyimbo, remix na cover za nyimbo pindi zitokapo, na kweye mitandao ya kijamii @Luganoedommbeyatz.
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete