• Breaking News

    FAIDA SABA ZA MAOMBI YA KUFUNGA

    Maombi ya kufunga yanafaida zifuatazo kwa mkristo

    1.maombi ya kufunga yanaweza kutufanya kuongezeka kiimani  Mathayo 17:21" Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga"

    2.Hufungua/Huachilia macho ya ndani kuona vizuri  Zaburi 119:18" unifumbue macho yangu yatazame Maajabu yatokanayo katika Sheria yako"

    3.Huachilia mwili kutiishwa,  Wakolosai 3:5  "Kwa ajir ya mambo hayo huja ghadhabu ya MUNGU"  1Thesalonike 5:17 " shukrani kwa kila Jambo maaƱa hayo ni mapenzi ya MUNGU kwenu katika Kristo Yesu "     Marko 11:24 "kwa sababu hiyo nawaambia yo yote myaombayo mkisali kwamba mnayapokea nayo yatakuwa yenu"

    4.Huachilia kupokea ahadi ya MUNGU na MĆ ombi kujibiwa,   Yer 29:13" Nanyi mtanitafuta na kumuona,mtakakapo nitafututa kwa moyo wenu wote"    1Yohana 5:14" Na kama tukijua kwamba atusikia tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba"     Ebra 4:16 "maaƱa kila kuhani mkuu aliyetwaliwa katika wanadamu amewekwa kwa ajiri ya wanadamu katika mambo yanayomhusu Mungu, ili atoe matoleo na dhabihu kwa ajiri ya dhambi"

    5.Huachilia laini wazi(Mawasiliano) ya Roho Mtakatifu kukutumia 1Wakoritho 12:11 "MaaƱa kama vile mwili ni mmoja nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule,navyo ni vingi, ni mwili mmoja vivyo hivyo na Kristo"    Rumi 8:26_27 " Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya Roho ilivyo kwa kuwa huwaombe watakatifu kama apendavyo Mungu, 27 Nasi twajua kuwa katika mĆ ombi yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema Yaani wale wilioitwa kwa kusudi lake "

    6.Huachilia Kumtumikia Mungu Vizuri,  Matendo 13:2_3  "Ndipo wakiisha kufunga na kuomba, wakaweka mikono yao juu yao wakawaacha waende zao" 3 Basi watu hao wakiisha kupelekwa na Roho Mtakatifu, wakatelemkia seleukia  na kutoka huko wakasafiri baharini zote kipro"

    7.Huachilia kuwa na nguvu za Mungu,    Mathayo11:12 " Amini nawaambieni hajaondokea mtu katika wazao wa wana wake aliye mkuu kuliko Yohana mbatizaji walakini aliye mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye"  Zaburi 66:18 _19 "Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu ,Bwana asingelinijibu, 19 Hakika Mungu amesikia ameisikiliza sauti ya mĆ ombi yangu"

    NI MUHIMU KWAKO MKRISTO KUWA NA MAOMBI

    Somo hili limeandaliwa na mchungaji kikoti 0746314369 ulanda, pia masomo kama Haya yanapatikana ya kila siku yanapatikana katika blog hii au GodloveApp unaweza kudownload katika link (http/goo.gl/pRBmJp) na matangazo mbalimbali yanakaribishwa,Asante karibu ,  Gl

    No comments