• Breaking News

    Lugano ataraji kuachia wimbo

    Msanii wako maarufu kutoka mbeya anayefahamika kwa jina la Lugano ivi karibuni anataraji kutoa wimbo wake uitwao unaweza Bwana, wapenzi wa mwanamziki uyo Muwe tayar kwa ajiri ya kupekea ujio wake mpya na mapinduzi katika mziki wa gospel ,iyo yote katika kumuinua MUNGU aliye juu



    Kwataarifa zaidi endelea kufatilia blog i pia unaweza kupakua app yetu GodloveApp(htt://goo.gl/pRBmJp)

    2 comments: