ROHO MTAKATIFU
Roho Mtakatifu ni Nani? _ ili umjue Roho Mtakatifu lazima ujue Ni Nani
Roho Mtakatifu ni Mungu, Matendo 5:3_5
Ni mshiriki katika nafsi tatu za Mungu
Sifa za Roho Mtakatifu
1.Ana Asili ya umilele,. Walaka wa Ebrania 9:14
Roho Mtakatifu ni Mungu, Matendo 5:3_5
Ni mshiriki katika nafsi tatu za Mungu
Sifa za Roho Mtakatifu
1.Ana Asili ya umilele,. Walaka wa Ebrania 9:14
2.Roho Mtakatifu yupo kila Mahali, kila wakati, Zaburi 139:7_8 inatueleza vizuri kuwa Roho Mtakatifu yupo kila mahali
3.Roho Mtakatifu anafahamu yote , tunaona katika kitabu cha Wakoritho wa kwanza kuw Roho Mtakatifu anajua yote 1Wakoritho 2:10-11
4.Roho Mtakatifu anaweza yote ,Roho Mtakatifu anaweza mambo yote, tunaona katika kitabu cha Luka kuwa Roho Mtakatifu anaweza kutanya mambo ambayo kibinadamu Ni magumu kabisa, Luka 1:35
UWEZO ALIONAO
1.Kuona moyoni, Riho Mtakatifu anauwezo wa kuona moyoni, mawazo na vitu vyote ambayo binadamu au kitu chochote au kiumbe kiwazayo, Efeso 4:30
2.Roho Mtakatifu anauwezo wa kufariji, hili tunaakikishiwa na maandiko katika kitabu cha Matendo kuwa Roho Mtakatifu anaweza kufariji, Matendo 9:31
3.Roho Mtakatifu anauwezo wa kuomba, ata hivyo Biblia inatuthibitishia kuwa Roho Mtakatifu anaweza kuomba katika kitabu cha Warumi, Warumi 8:25_26
4.Roho Mtakatifu anaweza kufundisha, hili tunapata katika andik la Yohana kuwa Roho Mtakatifu pia anao uwezo wa kufundisha, Yohana 14:26
5.Roho Mtakatifu anaweza kuzuia Jambo fulani lisitokee au anaouwezo wa kusababisha Jambo fulani kutokea , Matendo 16:6
Haya Ni baadhi ya Mambo machache kuhusu Roho Mtakatifu, usichoke kufatilia blog yetu hi, kwa somo linalofuata la Roho Mtakatifu sehemu ya Pili
No comments