ROHO MTAKATIFU PART II
UWEZO ALIONAO ROHO MTAKATIFU
Roho Mtakatifu huachilia macho ya rohoni/macho ya kiroho, Tunasoma katika kitabu cha Efeso 1:17_19, na 1Wakoritho 2:9_14
1Wakoritho 2:9_14
ROHO MTAKATIFU ANAPOKUWA NDANi YAKO
1.Humleta mtu kwenye wokovu na kumshuhudia rohoni kosa, Tunasoma katika Yohana, Yohana 16:8
2.Huleta kuzaliwa mara ya pili, Aya Tunasoma katika kitabu cha Tito 3:5_8, Efeso 2:1, Yohana 6:6
Tito 3:5_8
Efeso 2:1
Yohana 6:6
Efeso 2:1
Yohana 6:6
3.Utupa uhakika wa ndani kuhusu Mungu/Utushuhudia ukweli kuhusu Mungu,. Rumi 8:16-17, 1Yohana 5_7_9
Rumi 8:16_17
4.Hutupa nguvu ya kuishi maisha matakatifu, Yohana Yohana 16:13
5.Hutufundisha mambo yote, Roho Mtakatifu utufundisha mambo ata ambayo atuyafahamu , Yohana 14:26 Neno la Mungu linatuaambia hivi
6.Huuisha miili yetu, Roho Mtakatifu huimarisha miili yetu, Rumi 8:11
7.Hutupatia nguvu kwa ajiri ya Huduma, Rumi 1:8_11
8.Huachilia nguvu ya maombi, Tunasoma katika bibilia , Rumi 8:26
1Yohana 6:7_9
No comments