Leo ndugu wapenzi wasomaji wa blog Yetu pendwa, Nawaletea someone hili la umuhimu au ubora na uzuri wa kuongozwa na Mungu, katika maisha watu wengi hujiongoza wenyewe kwenye mambo yao, Lakini watu wa Mungu, taifa teule, watoto wake, lazima waongozwe na Mungu, Ngoja tuone kwa nini tunasema vizuri kuongozwa na Mungu.
1.Hatua za Watu wanaoongozwa na Mungu huimarishwa, wajapo jikwaa hawataanguka, Zaburi 37:23_25
2.Mungu kwao ndiye kiongozi, Watu waongozwao na Mungu kwao Mungu ndiye anayewaongoza,wapi wapite,Nini wafanye,kwa wakati gani, Maana yeye ndiye kiongozi wao Milele, Zaburi 48:14
3.Huongozwa kwa mashauri/hushauriwa na Mungu juu ya Mambo yao kwa maaana, Mungu kwao ndiye kiongozi katika maisha yao,
4.Hunyoosha mapito yao,uwaepusha na uovu
5.Huokolewa hata katika njia/mapito ya dhiki
6.Hufundishwa na Mungu,Na Mungu huwaagiza, Isaya 28:26,
7:Isaya 42:16
8.Zaburi 73:24
Huu ndio umuhimu wa kutaka kuongozwa na Mungu katika maisha yako ili uwe salama kwa kila kitu au jambo unalofanya,
Asante
Usikose kutufuatilia katika masomo yetu kwenye blog Yetu pendwa, pia unaweza download application yetu kwenye linki Apo chini,Na tunapatikana kwa namba 0755555070/0752390465, Asante
No comments