• Breaking News

    ROHO MTAKATIFU PART III

                                               ROHO MTAKATIFU HUFANANISHWA NA NINI

    1.Moto_ Roho Mtakatifu anaviashilia au alama ya Moto, kwa vile hutakasa, huleta joto la rohoni, Isaya 4:4 na Luka 3:16 


    Luka 3:16

    Roho Mtakatifu hutupa Moto wa rohoni,na hutupatia kwa ajiri ya kazi ya Bwana / Roho Mtakatifu Ni kibali Cha Mungu

    2.Upepo_ Roho mtakaMtak pia hulinganishwa na upepo kwa sababu ya kazi zake na za ajabu ndani ya watu zinazofanyika, kwa mfano kuzaliwa mara ya pili,  Matendo 2;1_8

    3.Maji_ Roho Mtakatifu ufananishwa na maji,kwa maana ya kuwa yu Mwingi Wala hapungui, kazi ya maji Ni kusafisha,kuburudisha kiu, hivyo nae Roho Mtakatifu ufanya kazi kama maji, husafisha dhambi, huburudisha kiu ya Rohoni, hivyo HUFANANISHWA na maji, Yohana 7:38_39, 4:4, Zaburi 87:7
    Zaburi 72:6
    Zaburi 87:7

    4.Muhuri_Roho Mtakatifu hufananishwa na muhuri, ili kuonyesha Ni mali ya Mungu Mkristo lazima ujazwe na Roho Mtakatifu,hi inakufanya kuwa making ya Mungu na kuwa salama
    Efeso 4:30
    2Timotheo 2:19

    5:Mafuta_ Roho Mtakatifu ufananishwa na mafuta, mafuta hutumika kama kilainishi au kitu kinachofanya ung'ae, Luka 4:18
    Matendo 10:38
    Zaburi 23:5

    6.Roho Mtakatifu ufananishwa na kidole Cha Mungu, hukunyooshea kidole mahali ambopo mtu hufanya makosa, Luka 11:20
    Mathayo 12:28

    7.Njiwa, Roho Mtakatifu hufananishwa na njiwa, Mathayo 3:16
    Luka 3:22

    8.Nuru, Roho Mtakatifu hufananishwa na Nuru au mwangaza, Ufunuo 4:5
    Ufunuo 5:6

    9.Sauti ndogo ya Utulivu_Roho Mtakatifu ufananishwa na sauti ndogo yenye upole na utulivu, Mwanzo 3:8_10

    10.Alama ya ngungu_ Roho Mtakatifu ufananishwa na nguvu na yeye Ni nyuvu,  Luka 34:49
    Matendo 1:8
    Ufunuo 5:6

    11.Alama ya vazi au kuvikwa, Isaya 61:10

    Waamuzi 6:34

    11.Roho Mtakatifu hufananishwa na katika ua au majani, katika kufariji na kuchangamsha kanisa, Zaburi 133:1_3
    Hosea 14:5

    12.Dhamana, Roho Mtakatifu Ni dhamana, Efeso 1:13_14

    Ayo ni baadhi ya Mambo machache kuhusu Roho Mtakatifu, usisite kuendelea kufatilia blog Yetu pendwa, godlovemedia.blogspot.com kila wakati, pia tunapatikana kwa namba 0752390465/ 0755555070,au bonyeza link (htt/goo.gl/pRBmJp) kupata application ya godlovemedia.blogspot.com
    Somo limeletwa kwenu na Pastor Kikoti, O752390465

    No comments