• Breaking News

    AHADI YA MUNGU KWA WASHINDAO


    Mungu amehahidi mambo mbalimbali kwa watu wake ambao watafanikiwa kushinda dunia na kuingia Mbinguni, Na kama ivivyo tangu mwanzo wa Ulimwengu Mungu akihaidi lazima litimie,. Zifuatazo Ni Ahadi za Mungu kwa watakaoshinda

    1.Watakula matunda ya mti wa Uzima,  Ufunuo wa Yohana 2:7

    2.Atavikwa mavazi meupe,Ataandikwa katika kitabu cha Uzima,, Mungu atakuwa Baba ake, Yesu atamkiri mbele za Baba,   Ufunuo wa Yohane 3:5

    3.Wataketi Pamoja na Mungu katika kiti Cha Enzi,. Yohana 3:21

    4.Atakuwa Nguzo katika hekalu la Mungu, Ufunuo wa Yohane 3:12

    5.Atarithi, Ufunuo wa Yohane 21:7_8

    Hizo Ni baadhi ya Ahadi ambazo Mungu amehaidi kwa WASHINDAO, usikose kufatilia masomo yetu au pakua application yetu kwa kubonyeza link Apo chini kuendelea kupata update zetu, au kwa mawasiliano tunapatikana kwa namba 0755555070 au 0752390465

    (htt/goo.gl/pRBmJp) Godloveapp



    No comments