• Breaking News

    YESU HULETA FURAHA

    Ndiyo Yesu huleta furaha,Basi Sasa ngoja tuangalie baadhi ya maandiko yanayotuthibitishia kuwa Yesu huleta Furaha

    1.Yohana 15:11, Hili Ni moja ya maandiko yanayotuthibitishia kuwa Yesu huleta Furaha

    2.Zaburi 16:11, Biblia inatuambia, kuwa Pamoja na Furaha pia Mungu hujilisha watu wake katika njia iendayo uzimani


    3.Warumi 14:17, andiko linatueleza kuwa ufalme wa Mungu Ni wa Furaha, ivo ukiwa chini ya milki ya Yesu lazma uwe chini ya milki ya Furaha

    4:Yohana 17:13, Yohana pia anatueleza waziwazi kuwa lengo La Kristo Ni kuwapa Furaha watu wake,

    5.Isaya 12:3, Nabii Isaya nae katuandikia vizuri kabsa habari ya Furaha itokanayo na wokovu wa Kristo

    6.Kristo akikaa ndani yako, mkiwa na upendo na imani, lazima upendo huo utawapatia Furaha , Waefeso 3:17

    7 Wagalatia 2:20, Ukiwa na Yesu yeye mwenyewe anaishi ndani yako Wala so wewe tena Bali Ni Kristo,Basi Sasa Kristo lazima akuletee Furaha na Amani

    Ndiyo Kristo huleta furaaaaha,na Yesu wetu Ni mzuriii

    Usikose kutufuatilia katika masomo Yetu kwenye blogs hii,bila kusahau kupakua application yetu kwenye linki Apo chini, Pia tunapatikana kwa namba 0755555070 na usisite kutoa maoni

    (htt/goo.gl/pRBmJp) Godloveapp

    No comments