• Breaking News

    ONYO KWA WATUMIAJI WA VILEO


    Leo ngoja tuangalie maandiko kuhusu Vinywaji ambavyo vinakilevi, Biblia imeandika kila kitu kwa uwazi, na imetuonya Wakristo vikali kuhusu Vinywaji hivyo, Ngoja twende tutazame maandiko hayo moja baada ya Jengine

    1.Isaya 5:11

    2.Wagalatia 5:18_21, pia Biblia imeonya vikali kuhusu ulevi,na imetamka wazi kuwa Walevi hawatarithi ufalme wa Mungu

    3.Warumi 13:12_14, pia Biblia imeonya ulevi Ni miongoni mwa tabia zinazopingwa na zisizokubalika katika ufalme wa Mungu

    4.Mithali 23:31_35, mwandishi wa mithali nae hakuacha kugusia kuhusu vinyViny ambavyo vinakilevi,

    Hayo Ni baadhi tu ya maandiko yanayoonya utumiaji wa vilevi,lakini pia siyo Biblia tu peke yake inaonya Bali hata kwa maisha ya kawaida vilevi Ni hatari Sana kwa afya ya binadamu

    Asante.

    Usikose masomo yajao katika blog Yetu, pia unaweza kupata application yetu kwa kubonyeza link app chini kuendelea kupata update zote kila siku za masomo mbalimbali, Pia tunapatikana kwa namba 0755555070/0752390465, Na usisite kutoa maoni yako Asante.

    (htt/goo.gl/pRBmJp) Godloveapp

    No comments