• Breaking News

    AHADI NZURI ZA BWANA

    Mungu wetu Ni Mungu mzuri Sana, Ni Mungu mwenye kutoa Ahadi nzuri na za ajabu kwa watu wake, kwakweli tamani Sana kufikia mambo ambayo Mungu amehaidi, ngoja tuangalie baadhi ya Ahadi chache tu,

    1.Mungu kaahidi kutufuta  machozi, Ufunuo wa Yohane 21:4,  kila chozi litafutwa, apa Mungu anataka tusikate tamaa Bali tutazamie kufika kwake ili kila chozi lililotoka atufute, Yohana 21:4

    2.Atakuwa karibu nawe, Mungu pia katuhaidi  hatotuacha hata kipindi Cha magumu na kipindi Cha kupondeka roho, Zaburi 34:17_19

    3.Bwana uwatendea wema, Bwana amehaidi kututendea wema katika maisha,Tuangalie katika Zaburi 37:3_6


    4.Mungu atakuwa anakuangalia wakati wote, pia atakuinua katika maisha yako yote, Isaya 66:2

    5.Yesu anashirikiana na wewe, Tunasoma katika Waraka wa Kwanza was Petro 4:12_13

    AHADI

    Izo Ni baadhi ya Ahadi chache tu nzuri ambazo Mungu amehaidi, mpendwa tamani Sana kuzifikia, Ni Ahadi nzuri kwakweli , Basi tujitahidi wapendwa kuvuka ng'ambo, nasi tukamwone shujaa wetu Yesu Kristo.
    Basi usikose kufatilia masomo yetu katika blog Yetu hii pendwa, pia unaweza kupata application yetu katika link Apo chini ili kupata update za masomo ya kila siku , Na tunapatikana kwa namba 0755555070/0752390465, pia usisite kutoa maoni yako, Asante



    No comments